TCRA TANZANIA

TCRA TANZANIA

256.0K subscribers

Verified Channel
TCRA TANZANIA
TCRA TANZANIA
February 3, 2025 at 02:49 PM
📌TAARIFA KWA UMMA📌 Wito wa kutoa maoni kwenye Rasimu ya waraka wa ugawaji wa masafa ya mawasiliano ya simu katika bendi 3600-3800 MHz Bofya kiungo (link) hiki https://bit.ly/4hH7TG0 kupata nakala rasimu hiyo au cheki link Bio kuipata link Maoni yote yanapaswa kutolewa kupitia barua pepe ya [email protected] au njia ya posta kwenda kwa Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Ghorofa ya Nane Jengo la Mawasiliano, Na. 20 Barabara ya Sam Nujoma, S.L.P 474, 14414 Dar es Salaam. Ukomo wakuwasilisha ni saa 10 alasiri, tarehe 23 Aprili 2025 #tcratz #tcrapn #tcrataarifa #telecommunication #hudumazasimu #tehama
👍 2

Comments