Bank of Tanzania

Bank of Tanzania

293.7K subscribers

Verified Channel
Bank of Tanzania
Bank of Tanzania
February 1, 2025 at 08:34 AM
Kupitia kampeni ya ‘Zinduka, Usiumizwe, Kopa kwa Mandeleo’ Benki Kuu ya Tanzania(BoT) inawahimiza wananchi kutumia wakopeshaji wenye leseni ya BoT, kupitia masharti na vigezo vya mkopo kabla ya kusaini na kupokea mkopo pamoja na kukopa kwa malengo ya kiuchumi na maendeleo. Afisa Mwandamizi wa BoT, Bw. Deogratias Mnyamani, anaelezea kampeni hiyo iliyoanza tarehe 30 Januari mwaka huu na ambayo itadumu kwa muda wa mwezi mmoja jijini Dar es Salaam. https://www.instagram.com/reel/DFgRK2KNSKm/?igsh=MWdoaGFxNmRnNDBlNA==
👍 🙏 ❤️ 👏 💀 27

Comments