
TCRA TANZANIA
February 5, 2025 at 05:44 AM
MKUTANO WA MWAKA WA VYOMBO VYA UTANGAZAJI NCHINI (THE ANNUAL BROADCASTERS' CONFERENCE - ABC, 2025)
WASHIRIKI: Vituo vya Utangazaji wa redio na televisheni, Wakusanyaji na Wasambazaji wa Maudhui (MUX & Support Services), Watoa Huduma ya Maudhui kwa Njia ya Waya, Wasambazaji wa Vifaa vya Utangazaji na Wadau wote wa Sekta ya Utangazaji
🗓️ Tarehe 13 na 14 Februari, 2025
🕰️Muda: Kuanzia saa 2:00 Asubuhi
📍 Mahali: Ukumbi wa New Generation, Kisasa, Dodoma
Kauli Mbiu: " Wajibu wa Vyombo vya Utangazaji Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025”
#tcratz #broadcasting #abc2025
👍
❤️
🙏
8