TCRA TANZANIA

TCRA TANZANIA

256.0K subscribers

Verified Channel
TCRA TANZANIA
TCRA TANZANIA
February 5, 2025 at 01:38 PM
‼️BADO SIKU 05‼️ Wito kwa washiriki wa Tuzo za WSIS 2025 Kutazama kipindi kamili, tafadhali bofya link https://youtube.com/live/bgmTc5qwCVA?feature=share 👉Rejea taarifa zaidi kuhusu kushiriki kwenye Mkutano wa Dunia wa Jumuiya ya Habari (WSIS 2025 20+) kupitia kiunganisho https://bit.ly/3CwMhgk 📌 Maelezo zaidi kuhusu uwasilishaji wa taarifa za miradi na tuzo za WSIS yanapatikana kupitia: www.wsis.org/stocktaking na www.wsis.org/prizes. ‼️Ukomo wa kuwasilisha miradi hiyo ni tarehe 10 februari 2025.‼️ #tcratz #wsisprizes #wsisprizes2025 #taarifakwaumma #elimukwaumma #innovations #startups #nirahisisana #itu @wsis_process
❤️ 👍 🙏 😮 8

Comments