
NMB Bank Plc
February 10, 2025 at 10:44 AM
Njombe 📍
NMB Kijiji Day inaendelea kukanyaga mtaa kwa mtaa! 🚶🏿♂️
Tunaendelea na zoezi letu la kufikisha huduma na elimu ya fedha kwa watanzania hasa maeneo ambayo bado hayajafikiwa, kuwawezesha kutimiza malengo yao kupitia masuluhisho yetu ya bima, mikopo na huduma za kidijitali.
Mbali na huduma za kifedha, tumetoa Elimu ya Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia, semina kwa vyama na vikundi vya kijamii na bonanza lililo sheheni burudani mbalimbali!
Tukio hili lilihudhuriwa na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Frank Mganga, na uwakilishi wa benki umeongozwa na Meneja wetu wa Kanda ya Nyanda za Juu, Wogofya Mfalamagoha.
#nmbkijijiday
#nmbkaribuyako
❤️
👍
🙏
9