NMB Bank Plc

NMB Bank Plc

276.7K subscribers

Verified Channel
NMB Bank Plc
NMB Bank Plc
February 11, 2025 at 05:00 AM
Dar es Salaam 📍 Uongozi wa Benki ya NMB ukiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu, Bi. Ruth Zaipuna umempokea Mwenyekiti Mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki yetu, CPA. David Carol Nchimbi ambaye ameanza Rasmi majukumu yake mapya. Katika mazungumzo na Menejimenti, CPA. Nchimbi ameipongeza Benki ya NMB kwa mafanikio makubwa huku akiahidi kuwa Bodi itaendelea kuisimamia na kushirikiana na menejimenti kutimiza malengo tuliyonayo kuipeleka Benki mbele kwa manufaa wa Watanzania. #nmbkaribuyako
👍 ❤️ 🙏 😂 😘 9

Comments