NMB Bank Plc

NMB Bank Plc

276.7K subscribers

Verified Channel
NMB Bank Plc
NMB Bank Plc
February 11, 2025 at 07:21 AM
Dodoma 📍 Kama mdau wa Sekta ya Elimu nchini, tumeshiriki uzinduzi wa maonesho na huduma kwa wateja ikiwa ni shamrashamra za maadhimisho ya miaka 20 ya bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu. Katika maonesho haya, tutakuwepo katika kanda zote nchini kutoa huduma za: ➡️ Kufungua akaunti ➡️ Masuluhisho ya benki ➡️ Fursa kwa wanachuo ➡️ Elimu ya fedha Maonesho haya yamefunguliwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo, Prof. Adolf Faustine Mkenda. #usiachwe
👍 😢 😮 🙏 5

Comments