
TCRA TANZANIA
February 12, 2025 at 10:17 PM
📌MKUTANO WA MWAKA WA VYOMBO UTANGAZAJI NCHINI (ABC 2025)
WASHIRIKI: Vituo vya Utangazaji, Waandaaji na Wasambazaji wa Maudhui, Wauzaji wa Vifaa vya Utangazaji na Wadau wote wa Sekta ya Utangazaji
📌Mbashara kupitia Chaneli ya Youtube ya TCRA🔥
🗓️ Tarehe 13 na 14 Februari, 2025
🕰️ 3:00 Asubuhi
📍 New Generation Hall- Dodoma
#tcratz #broadcasting #abc2025
👍
😂
5