
TCRA TANZANIA
February 14, 2025 at 02:41 PM
Sekta ya Utangazaji ni Kiungo muhimu katika Kuhamasisha Amani, Mshikamano na Ujenzi wa Taifa
Nasaa za viongozi na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb.) wakati wa halfa ya ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Vyombo vya Utangazaji 2025 unaofanyika jijini Dodoma tarehe 13 na 14 februari 2025.
Mkutano wa Mwaka wa Vyombo vya Utangazaji unaongozwa na kauli isemayo ‘Wajibu wa Vyombo vya Utangazaji kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.’
#tcratz #abc2025 #broadcasting
😢
🙏
2