
NMB Bank Plc
February 12, 2025 at 06:52 AM
Michongo haikuachi, inakufuata hukohuko!
Kwa kushirikiana na Bodi ya Mkopo ya Elimu ya Juu Tanzania (HESLB), tumeandaa kliniki zitakazokupa michongo yote unayohitaji kufanya Maisha yako ya chuo yawe mteremko.
Usisite kupita katika mabanda yetu, kuna mambo mazuri yanakusubiri!
#usiachwe
👍
❤️
🙏
🇹🇿
😂
😅
😢
🥰
20