NMB Bank Plc

NMB Bank Plc

276.7K subscribers

Verified Channel
NMB Bank Plc
NMB Bank Plc
February 13, 2025 at 07:49 AM
Ni wakati wa kuchukua tuzo kutoka African Iconic Women Recognition! Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna amechaguliwa kuwania tuzo za African Iconic Women Recognition katika vipengele vya: 🏆 African Iconic CEO of the year 🏆 African Iconic Corporate Personality Of The Year Jinsi ya kupiga Kura: ➡️ Bonyeza: https://africaniconicwomenrecognitionawards.com/award/ ➡️ Katika "Categories" chagua African Iconic Corporate Personality Of The Year kupiga kura ya kwanza na "African Iconic CEO of the year" kupiga kura ya pili ➡️ Shuka chini hadi kwenye orodha ya wagombea ➡️ Chagua jina la Mgombea ambaye ni Ruth Zaipuna ➡️ Thibitisha Kura yako kwa kubonyeza kitufe cha "Vote" baada ya kuchagua jina lake Mwisho wa kupiga kura ni Februari 18, 2025 na sambaza kwa watu wengi zaidi kufanikisha zoezi hili. Asante.
👍 🙏 ❤️ 😂 😮 13

Comments