NMB Bank Plc
February 13, 2025 at 08:57 AM
Leo sio siku ya kukaa mbali na simu yako!
Washindi wa Grand Finale ya kampeni yetu ya Mastabata la Kibabe wanaenda kupatikaa hivi punde na tutakuwa live @efmtanzania kuwapigia simu.
Ushindi ni safari ya kwenda Dubai ukiwa na mtu utakayemchagua kula bata lililolipiwa kila kitu!
Unakosaje sasa?
#haachwimtu #nmbkaribuyako
❤️
👍
😂
🙏
😮
16