Dimbani Konekti
January 18, 2025 at 03:45 PM
Rasmi klabu ya Yanga inatupwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye hatua ya makundi wakilamilza nafasi ya 3 na alama 8 baada ya michezo 6 kwenye msimamo wa Kundi A, nyuma ya Al Hilal na MC Alger waliofuzu kucheza Robo Fainali.
Yanga SC 0️⃣-0️⃣ MC Alger
Msiba umefana sana hamna aliyelia nje ya Key.
😂
👍
❤️
🖕
😢
🙏
💔
🔰
😮
✍️
131