Dimbani Konekti WhatsApp Channel

Dimbani Konekti

206.5K subscribers

Verified Channel

About Dimbani Konekti

Kwa habari, uchambuzi na taarifa za kina za michezo na burudani kutoka kote duniani.

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

Dimbani Konekti
Dimbani Konekti
2/24/2025, 6:35:52 PM

*Kwa kuangalia msimamo, kuna haja ya kujua matokeo yao?* ๐Ÿ˜ƒ Weka imoji hapa tujue mood yako๐Ÿ‘‡

Post image
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ‘ ๐Ÿ˜ข โค๏ธ ๐Ÿ™ ๐Ÿ–• ๐Ÿฆ ๐Ÿ’š ๐Ÿ˜ญ ๐Ÿ”ฐ 307
Image
Dimbani Konekti
Dimbani Konekti
2/24/2025, 12:59:12 PM

Nyota wa klabu ya Vipers kutoka nchini Uganda, Abubakar Lawal raia wa Nigeria amefariki dunia kwa ajali ya pikipiki (bodaboda) tukio hilo limetokea asubuhi ya leo akielekea mazoezini. Lawal si tu alikuwa mchezaji wa kutumainiwa bali pia alimiki historia nzuri hasa mioyoni mwa mashabiki wa Vipers ambao wataendelea kumkumbuka kwani aliwafungia bao la kwanza kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika, nyota huyo alijiunga na klabu hiyo msimu wa 2022/23 akitokea AS Kigali FC.

Post image
๐Ÿ˜ข ๐Ÿ˜ญ ๐Ÿ™ โค๏ธ ๐Ÿ‘ ๐Ÿ•Š๏ธ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿฅน ๐Ÿ˜ฎ ๐Ÿ•ฏ๏ธ 176
Image
Dimbani Konekti
Dimbani Konekti
2/25/2025, 9:49:46 AM

*Hasheem Imbwe atamba kuwa wakibebwa kama Simba SC na Yanga watakuwa mabingwa mara 10 mfululizo* ๐Ÿ˜€ Ingia https://youtu.be/P3j1VnCWO2Y?si=B5lNzmTKlwOZt-i0

๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ‘ โค๏ธ ๐Ÿ™ ๐Ÿ˜ข โŒ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ“Œ ๐Ÿฅต 36
Dimbani Konekti
Dimbani Konekti
2/24/2025, 9:06:38 PM

*Ahmed Ally Kinyonge kawanyooshea mikono Azam* Ingia https://youtu.be/NALV7u3MXzU?si=mxwRzeUL_JfzfyLM

๐Ÿ˜‚ โค๏ธ ๐Ÿ™ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‘ ๐Ÿฆ ๐Ÿ‘ ๐Ÿ’ฏ ๐Ÿ–• ๐Ÿ˜ข 40
Dimbani Konekti
Dimbani Konekti
2/24/2025, 11:17:47 AM

Pita kulia nipite kushoto tukutane kwa Mkapa, ndio leo ni Mzizima Derby mchezo utakaopigwa saa 1 usiku katika dimba la Benjamin Mkapa baina ya Simba SC dhidi ya Azam FC. Simba wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na kumbukumbu nzuri ya kupata ushindi ugenini Ruangwa dhidi ya Namungo, wakati Azam wakidondosha alama pale Sheikh Amri Abeid Arusha kwa Wagosi Wakaya Coastal Union. Azam wakiwa na alama 43 watajitutumua kupunguza wigo wa alama dhidi ya wapinzani wao Simba wenye alama 50. Vita ni Vita Mura.๐Ÿ’ฃ

Post image
โค๏ธ ๐Ÿ‘ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ™ โœ… ๐Ÿ‘ ๐Ÿ˜ญ ๐Ÿฆ 24
Image
Dimbani Konekti
Dimbani Konekti
2/25/2025, 8:57:07 AM

Hii ndio orodha ya vinara wa Kutoa pasi za usaidizi wa goli/Assists katika Ligi Kuu ya Nbc ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 2024-25 hadi sasa: ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Feisal Salum: 1๏ธโƒฃ1๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ Prince Dube: 7๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ Aziz KI: 7๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Jean Ahoua: 6๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Pacรถme Zouzoua: 6๏ธโƒฃ

Post image
โค๏ธ ๐Ÿ‘ ๐Ÿ˜ฎ ๐Ÿ™ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ”ฐ โšฝ ๐ŸŽฝ ๐Ÿ‘Ž 48
Image
Dimbani Konekti
Dimbani Konekti
2/26/2025, 11:54:49 AM

Timu ya Taifa ya Wanawake โ€˜Twiga Starsโ€™ leo itashuka dimbani ugenini dhidi ya Equatorial Guinea majira ya saa 11 jioni, katika mchezo wa kuwania tiketi kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026 zitakazofanyika Morocco. Huu utakuwa mchezo wa pili baada ya ule wa kwanza Stars ikiwa nyumbani Uwanja wa Azam Complex Chamazi, kushinda mabao 3-1 yaliyofungwa kipindi cha pili na Stumai Abdallah na Enekia Lunyamila waliongia wakitokea benchi na lile la tatu la Diana Msewa. Stars ikifuzu fainali hizo, itaungana na timu nyingine za taifa za Tanzania zilizofuzu kwenye mashindano makubwa ya Afrika, Taifa Stars iliyofuzu Afcon, 17 Serengeti Boys iliyofuzu Afcon U17 na Ngorongoro Heroes Afcon U20.

Post image
๐Ÿ‘ ๐Ÿ˜‚ โค๏ธ ๐Ÿ™ ๐Ÿ˜ข ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‘ ๐Ÿ˜ฎ 33
Image
Dimbani Konekti
Dimbani Konekti
2/26/2025, 11:30:20 AM

Ratiba michezo ya Raundi ya 22 Ligi Kuu NBC, kwa mechi mitatu kupigwa. 14:00 | Fountain Gate FC vs Tanzania Prisons Tanzanite Kwara - Manyara ๐ŸŸ๏ธ 16:15 | Singida Black Stars vs Mashujaa FC CCM Liti - Singida ๐ŸŸ๏ธ 19:00 | Kagera Sugar vs KMC FC Kaitaba Stadium - Kagera ๐ŸŸ๏ธ

Post image
๐Ÿ‘ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜ฎ โค๏ธ ๐Ÿ’€ ๐Ÿ–• 12
Image
Dimbani Konekti
Dimbani Konekti
2/24/2025, 11:18:18 AM

Klabu ya Real Madrid wameendelea kuonesha nia ya kunasa saini ya mlinzi Jarrad Branthwaite, anayekipiga kunako klabu ya Everton lakini wanapata kigugumizi kutoka na dau la Muingereza huyo. Everton wanahitaji dau la pauni milioni 62 kwa ajili ya kumuuza beki huyo wa kati wa England mwenye umri wa miaka 22.

Post image
๐Ÿ‘ โค๏ธ ๐Ÿ˜‚ โœ… ๐ŸŽ‰ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ˜ฎ ๐Ÿ™ 25
Image
Dimbani Konekti
Dimbani Konekti
2/24/2025, 8:23:41 AM

*Leo ๐Ÿ”ดSimba SC inashuka dimbani kucheza na โšช๏ธAzam FC mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Nani kuibuka mshindi?*

โค๏ธ ๐Ÿ‘ ๐Ÿฆ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ™ ๐Ÿค โœ… ๐Ÿฆ ๐ŸŽ‰ ๐Ÿ‘ 46
Link copied to clipboard!