Dimbani Konekti
January 20, 2025 at 09:57 AM
Hawa ndio wapinzani watatu anaoweza kukutana nao Simba SC, baada ya kufuzu hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika.
Al Masry 🇪🇬
ASEC Mimosas 🇨🇮
Stellenbosch 🇿🇦
Mnyama mnamtaka nani au nyie aje yoyote tu?
❤️
👍
😂
🙏
🇿🇦
😢
🦁
🇪🇬
🎉
😮
95