
Dimbani Konekti
January 20, 2025 at 12:05 PM
Baada ya kutokuwa na kiwango bora toka atue Real Madrid akitokea PSG na maneno ya wadau wa soka kumuandama mshambuliaji Kylian Mbappe, sasa unaweza kusema amejipata kwani jana ameweka wavuni mara mbili kwenye ushindi wa goli 4-1 walioupata Real Madrid dhidi ya Las Palmas.
Mbappe amefikisha idadi ya magoli 17 na assist 4 kwenye michezo 30 aliyoitumikia Real Madrid msimu huu mpaka sasa, akishika nafasi ya pili kwenye mbio za ufungaji bora La Liga nyuma ya Robert Lewandoski kwa tofauti ya goli 4 alkiwa na goli 12 wakati Lewandoski ana goli 16.
Mbappe gari limewakia Mlima Kitonga.🔥
👍
❤️
😂
🙏
👏
🤍
🤣
🫡
🫵
32