Dimbani Konekti

Dimbani Konekti

206.5K subscribers

Verified Channel
Dimbani Konekti
Dimbani Konekti
January 20, 2025 at 01:12 PM
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa maboresho ya Ratiba katika muendelezo wa Ligi Kuu NBC, baada ya hapo awali kutangaza kusimama na kupisha michuano ya CHAN ambayo yalipangwa kufanyika Februari ila taarifa ilitoka na kudai yamesogezwa mpaka Agosti. Yanga watakuwa nyumbani katika dimba la KMC kuwaalika Kagera Sugar, wakati Februari 2 Simba watakuwa ugenini Ali Hassan Mwinyi kukipiga na Tabora United. Michezo mingine itaendelea Februari 5: Tabora United 🆚 Namungo FC Yanga 🆚 KenGold Dodoma Jiji 🆚 Pamba Jiji Burudani ya Ligi Kuu NBC imerejea.🔥
👍 ❤️ 😂 🙏 😮 👏 ❤‍🔥 🔥 😳 🦁 65

Comments