
Dimbani Konekti
January 21, 2025 at 10:36 AM
Hawa ndio vinara wa kupachika mabao kwenye Kombe la Shirikisho barani Afrika kwa michezo 6 iliyopigwa msimu huu katika hatua ya makundi.
🇩🇿 Ismail Belkacemi - 0️⃣5️⃣
🇳🇬 Ifeanyi Ihemekwele -0️⃣4️⃣
🇹🇿 Kibu Denis - 0️⃣3️⃣
🇹🇷 Seifeddine Jaziri - 0️⃣3️⃣
🇲🇦 Youssef Zghoudi- 0️⃣3️⃣
🇧🇫 Issoufou Dayo - 0️⃣3️⃣
🇩🇿 Dadi Mouaki - 0️⃣3️⃣
🇨🇮 Jean Anhou - 0️⃣2️⃣
🇨🇲 Lionel Ateba- 0️⃣2️⃣
🇩🇿 Brahim Dib - 0️⃣2️⃣
Je, Kibu Denis kujipapatua na kuondoka akibeba tuzo ya ufungaji bora?
👍
❤️
🙏
😂
😮
🦁
🇹🇿
😢
⚽
🇯🇲
109