Dimbani Konekti

Dimbani Konekti

206.5K subscribers

Verified Channel
Dimbani Konekti
Dimbani Konekti
January 22, 2025 at 08:46 PM
Beki wa pembeni Gadiel Michael Kamagi amejiunga na Klabu ya Singida Black Stars akitokea Chippa United ya Afrika Kusini kama mchezaji huru, Gadiel amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuwatumikia Walima Alzeti wa Singida. Beki huyo wa timu ya taifa ya Tanzania ambae amewahi kuvitumikia vilabu vya Azam FC, Yanga SC, Simba SC na Singida Fountain Gate FC kwa nyakati tofauti.
❤️ 👍 😂 🙏 😢 🫡 35

Comments