NMB Bank Plc
February 14, 2025 at 01:55 PM
Rejesho la hadi 20% linawahusu mkilipia bili na kadi ya NMB Mastercard, wewe na mwenza wako, mkiwa Caffe Gelato Restaurant – Arusha, mkiwa mnaenjoy kahawa na mazagazaga kibao.
#nmbkaribuyako
❤️
😭
2