NMB Bank Plc
February 14, 2025 at 02:01 PM
Upepo mwanana, msosi mtamu na vinywaji, vinakamilisha furaha yenu, Valentine hii, pale Tanga Beach Resort. Na furaha inakamilika zaidi mkilipia bili na kadi ya NMB Mastercard na kupata rejesho la hadi 20%.
#nmbkaribuyako
❤️
👍
4