Dimbani Konekti

Dimbani Konekti

206.5K subscribers

Verified Channel
Dimbani Konekti
Dimbani Konekti
January 25, 2025 at 03:54 PM
Klabu ya Yanga imepata ushindi mnono kwenye mchezo wa CRDB Federation Cup dhidi ya Copco kutoka Mwanza, Jambo jema ni urejeo wa winga Max Mpia Nzengeli na Israel Patrick Mwenda kucheza mchezo wake wa kwanza akivaa uzi wa Wananchi. Yanga SC 5️⃣-0️⃣ Copco FC ⚽ Sheikhan Ibrahim 35' ⚽ Prince Dube ⚽ Max Nzengeli ⚽ Duke Abuya ⚽ Mudathir Yahya Huu utaratibu wa Wananchi kushinda 5 muanze kuuzoea tu.😅
😂 ❤️ 👍 🙏 😢 🖕 🔰 😮 🇹🇿 💚 114

Comments