NMB Bank Plc

NMB Bank Plc

276.7K subscribers

Verified Channel
NMB Bank Plc
NMB Bank Plc
February 15, 2025 at 08:59 AM
Valentines ni siku ya kuwakumbuka wale tunaowapenda na kuwajali, na kama benki upendo unaanza ndani. Kusherehekea siku hii, Wakuu wa Idara jana walitoa zawadi kwa wafanyakazi kwenye Idara zao, kusherehekea mafanikio yetu na kuendeleza sherehe za kutambuliwa kama mwajiri kinara zaidi Tanzania! #nmbkaribuyako #nmbmwajirikinara
👍 ❤️ 👆 4

Comments