
Dimbani Konekti
February 15, 2025 at 11:14 AM
Ligi Kuu NBC kuendelea leo Jumamosi Februari 15.
Saa 10:00 jioni, Pamba Jiji watakuwa uwanja wa CCM Kirumba wakiwakaribisha Coastal Union
Pamba wanaingia katika mchezo huu wakitoka kushinda mechi mbili zilizozipita.
Saa 1:00 usiku, AzamFC watakuwa dimba lao la nyumbani Azam Complex wakiwaalika Mashujaa.
👍
❤️
🇹🇿
🙏
⚽
👏
😅
🫣
28