
Benki ya NBC
January 29, 2025 at 10:05 AM
Benki ya NBC inapenda kukualika kwenye Safari ya Mafunzo ya Biashara ya NBC itakayofanyika Guangzhou, China ili kushiriki Maonesho ya Uagizaji na Uuzaji wa bidhaa za China maarufu kama Canton Fair.
Gharama za Usafiri ni $2850 kwa watakaoishia mji wa Guangzhou au $3,100/= kwa watakaopenda kwenda mji wa Yiwu.
Kwa mtu mmoja itahusisha:
→ Tiketi za ndege [ kwenda na kurudi ]
→ VISA
→ Malazi
→ Kitambulisho cha maonesho
→ Usafiri wa ndani uwapo China
→ Gharama za kutembelea maonesho
→ Bima ya Safari
Kuondoka ni tarehe 15.04.2025 kurudi 27.04.2025, mkopo wa riba nafuu utatolewa kwa watakaohitaji.
Kwa maelezo zaidi tembelea tawi letu lolote au Piga 0800 711 177 (BURE).
👍
❤️
🌝
📌
😂
😮
🙏
25