
Benki ya NBC
159.2K subscribers
Verified ChannelAbout Benki ya NBC
Benki yenye uzoefu zaidi nchini Tanzania na mdhamini mkuu wa NBC Premier League, NBC Championship na NBC Youth League.
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

โNdugu Wageni Waalikwa, Leo hii, tunapozindua msimu huu mpya, tunathibitisha kuwa NBC Dodoma Marathon ambayo ilianzishwa mwaka 2020 kwa lengo kuu la kusaidia sekta ya afya, hususan mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi, sasa ni zaidi ya mbio, ni tukio la kitaifa.โ - amesema Bw. Rayson Foya, Mkurugenzi wetu wa Fedha.


๐๐ข๐๐ก๐ ๐ธ ๐ฅ๐ข๐ง๐๐๐ง๐๐๐ฅ๐๐!? Wageni waalikwa, wafanyakazi wa Benki ya NBC wakiwa tayari kushuhudia tukio kubwa la kimataifa. Endelea kufuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii kwa matukio mbalimbali ya jambo hili la kimataifa.


Iringa Kunofu banaa ๐๏ธ๐

โTuliona tuna kila sababu ya kushiriki kwenye NBC Dodoma Marathon na hutukusita tulivyojua malengo ya mbio kwenye jamii hususani katika kuboresha afya ya mama na mtoto na kupambana na Saratani ya Mlango wa Kizazi - amesema Eng. Hersi Said, Mkurugenzi wa Uwekezaji, Makampuni ya GSM.


Picha ๐ท ndo linaanza!?


Vumbi litatimka kuanzia Tarehe 24 Jumamosi hii hadi Tarehe 25 Jumapili kwenye uwanja wa Samora Mt. Huwelโs Farm.

Tumezindua Rasmi NBC Essay Writing na Business Idea Competition! Leo tumefungua rasmi pazia la NBC Essay Writing na Business Idea Competition, tukilenga kuwawezesha zaidi ya wanafunzi milioni moja wa shule za sekondari nchini. Tukiwa na ushirikiano wa Wizara ya Elimu na TAMISEMI, tunajivunia kuendeleza ubunifu, elimu ya fedha, na ujasiriamali wa vitendo miongoni mwa vijana wetu. Mshindi wa jumla atajishindia TZS milioni 10, huku zawadi nyingine zikiwemo laptops, simu za mkononi, na vitabu. Zaidi ya hayo, washiriki bora watajiunga na NBC Student Mentorship Club, mpango mahususi wa kulea viongozi na wajasiriamali wa baadae.


Tukiwa Mount Royal Hotel Iringa tukijipanga kwa msafara kwenda kuanza NBC Iringa Mkwawa Rally Magari yameshachekiwa, Ruti zimeshachekiwa. Leo ni vumbi tu!?


Picha ๐ท limeanza kunoga!? Endelea kufuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii kwa matukio mbalimbali ya jambo hili la kimataifa.


๐๐ข๐๐ฌ๐ก๐๐ซ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ญ๐ฎ ๐๐ฆ๐จ๐จ๐จ! Karibu ufurahie huduma ya NBC Lipa Kiganjani yenye njia rahisi za malipo kupitia Lipa Namba na Scan QR ili kurahisisha huduma kwa wateja wako na kusimamia mauzo yako kwa ufanisi zaidi, wakigusa tu iMoo. Fika kwenye tawi la NBC lililopo karibu nawe kupata huduma hii.