Chama Imara Na Samia

Chama Imara Na Samia

205.5K subscribers

Verified Channel
Chama Imara Na Samia
Chama Imara Na Samia
January 18, 2025 at 11:07 AM
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM leo tarehe 18 Januari 2025, jijini Dodoma, ikiwa ni siku ya kwanza ya mkutano huo uliopangwa kufanyika kwa siku mbili, tarehe 18 na 19 Januari 2025. #kaziiendelee

Comments