
Chama Imara Na Samia
205.5K subscribers
Verified ChannelAbout Chama Imara Na Samia
Chanel Rasmi ya kutangaza Utekelezaji wa Ahadi za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Inayotekelezwa na Uongozi Rais Samia Suluhu Hassan. -- The Official Channel to announce the Implementation of the Promises of the Government of the United Republic of Tanzania Implemented by the Leadership President Samia Suluhu Hassan.
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametembelea majeruhi wa ajali ya gari waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Meatu, mkoani Simiyu, leo tarehe 17 Juni, 2025.

Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Usimamizi wa Rais Samia Suluhu Hassan imetekeleza Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 katika miradi mbalimbali. #SafariyaUshindi2025