
Benki ya NBC
February 12, 2025 at 01:22 PM
Je unaweza kuwa na akaunti ya pamoja na mwenza wako?
Karibuni NBC mfungue Joint Account na kuimarisha umoja wenu kifedha!
Vigezo ni rahisi:
→ Wote lazima muwe na umri wa miaka 18 au zaidi.
→ Wote muwe na Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
❤️
🌹
😮
🙏
8