Chama Imara Na Samia

Chama Imara Na Samia

205.5K subscribers

Verified Channel
Chama Imara Na Samia
Chama Imara Na Samia
January 26, 2025 at 04:49 PM
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema uamuzi wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, uliomchagua Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kugombea kiti cha Urais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, umezingatia takwa la kikatiba na mamlaka ya Mkutano Mkuu. #kaziiendelee

Comments