Chama Imara Na Samia

Chama Imara Na Samia

205.5K subscribers

Verified Channel
Chama Imara Na Samia
Chama Imara Na Samia
January 31, 2025 at 09:11 PM
*CCM IMEJIPANGA KUSHINDA KWA KISHINDO- MAKALLA* ▶️ *Apokea maandamano ya wananchi kuunga mkono maamuzi mkutano mkuu* ▶️- *Awahamasisha wananchi kujiandikisha* ▶️- *Awataka wananchi kuwakataa viongozi wanaogawa watu* ▶️- *Akoshwa Na miradi mingi ya maendeleo* Katibu wa NEC Itikadi ,Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA amos makalla amewahamasisha wananchi kujiandikisha kwa wingi na kukipa ushindi chama Cha mapinduzi muda uchaguzi utakapofika Hayo ameyasema leo katika mkutano wa hadhara mkoa mjini magharibi wakati akihutubia maelfu ya wananchi Aidha amewapongeza wananchi wa mkoa wa mjini magharibi kwa kuunga mkono maamuzi ya mkutano mkuu maalum kwa kumchagua Dkt Samia Suluhu kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kwa tiketi ya CCM Na Dkt Husein Mwinyi kuwa mgombea urais zanzibar kwa ticketi ya CCM. #ccmimetimia

Comments