
Chama Imara Na Samia
February 1, 2025 at 10:50 AM
ππππ πππ. πππππ πππππ πππππ πππππππππππ ππ πππππ 48 ππ πππ πππππππππ
ππππππ ππππππ - πππ. ππππ πππππππ
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA. Amos Makalla ametoa tamko la CCM ya kuwa Maadhimisho ya miaka 48 ya kuzaliwa kwa chama hicho yatafanyika kitaifa Jijini Dodoma katika uwanja wa Jamhuri tarehe 5 Februari, 2025.
Akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari kwenye ofisi ya CCM mkoa wa Mjini Magharibi Kisiwani Zanzibar leo tarehe 1 Februari, 2025, CPA. Malkalla amesema kuwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho hayo atakuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025 dkt Samia Suluhu Hassan.
CPA. Makalla ameeleza kuwa CCM inaenda kuadhimisha miaka 48 ikiwa bado Chama cha Siasa Imara chenye kuendelea kushika dola na kutekeleza Ilani yake kwa vitendo jambo ambalo limeendelea kuwapa imani kubwa ya kuaminiwa zaidi na Wananchi.
"πͺπͺπ΄ πππππππππ πππππ 48 ππ πππππ πππππ ππ ππππππ πͺπͺπ΄ ππ
πππ πππππππππ πππ
πππ ππ πππππ
π ππππππππ, ππ
πππ πππππ πππππ ππ πππππππππππ πππ ππππππ
π πππππ ππππππ
πππππππ πππππ 48 ππππππ πππππ πππππ ππππππ ππππππππ πππππ ππ πππππ πππππππ πππππππ
ππππ πππππππππ ππ ππππππππ"
Aidha, CPA. Makalla amesema kuwa shamrashamra za maadhimisho hayo zimeanzia katika mikoa mbalimbali tangu tarehe 28 Januari, 2025.
Amefafanua kuwa siku ya Jumanne February 4 kutakuwa na kongamano la wanawake lililoandaliwa na UWT kwenye ukumbi Jakaya Kikwete jijini Dodoma ambapo mapema umoja wa vijana UVCCM utafanya mbio marathon jijini humo
#ccmimara
#vitendovinasauti
#kaziiendelee