Chama Imara Na Samia

Chama Imara Na Samia

205.5K subscribers

Verified Channel
Chama Imara Na Samia
Chama Imara Na Samia
February 2, 2025 at 10:35 AM
KONGAMANO KUBWA LA KIHISTORIA KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 48 YA CHAMA CHA MAPINDUZI. Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Chini ya Mwenyekiti wake Ndg Mary Pius Chatanda (MCC) unatarajia kufanya Kongamano kubwa la Kihistoria kuelekea Maadhimisho ya miaka 48 ya kuzaliwa Chama Cha Mapinduzi katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Tarehe 04 Febuari, 2025. *Aidha,* Mgeni Rasmi katika Kongamano la Wanawake anatarajiwa kuwa Ndg. Stephene Masato Wasira (MCC) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi. Kongamano hilo linatarajiwa Kuhudhuriwa Wanawake kutoka Makundi mbalimbali Wanachama wa UWT/CCM, Wadau, Wakereketwa, Mashabiki wa Chama Cha Mapinduzi wote kutoka Sehemu mbalimbali za Tanzania. #chamaimara #uwtimara #umojawetunguvuyetu

Comments