Chama Imara Na Samia

Chama Imara Na Samia

205.5K subscribers

Verified Channel
Chama Imara Na Samia
Chama Imara Na Samia
February 3, 2025 at 11:06 AM
WASSIRA ATEMBELEA KABURI LA BABA WA TAIFA MWL. JULIUS NYERERE BUTIAMA. MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wassira ametembelea kaburi la Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Butiama, leo Februari 3, 2025 akiwa ziarani mkoani Mara ambapo pia amezungumza na wazee wa Butiama. == ==

Comments