Chama Imara Na Samia

Chama Imara Na Samia

208.1K subscribers

Verified Channel
Chama Imara Na Samia
Chama Imara Na Samia
February 10, 2025 at 05:53 PM
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wassira Akizungumza na Wanachama wa  CCM na Wananchi Lamadi Wilaya ya Busega, aliposimama kuzungumza na wananchi akiwa njian kuelekea Mkoani Mwanza mara baada ya kuhitimisha  Ziara yake ya kuimarisha chama Mkoani Mara. #ccmimara #kaziiendelee

Comments