JamiiCheck
January 19, 2025 at 12:38 PM
Unapofanya uhakiki wa Picha au Video iliyotengenezwa kwa Teknolojia ya Akili Mnemba (AI) unashauriwa kutumia mbinu sahihi ikiwemo kuhesabu idadi ya vidole vya Mikono, kuangalia uhusiano wa Midomo na Sauti inayozungumzwa pamoja na kukagua uelekeo wa Macho ya Mzungumzaji
Epuka kutumia hisia za kuamini kila kinachochapishwa na Akaunti zilizothibitishwa kuwa sahihi kwani zinaweza kutumia Ushawishi wake kusambaza Taarifa Potofu, ikiwemo Video/Picha za kutengenezwa ili kuhadaa Watumiaji wa Mtandao
Soma zaidi https://jamii.app/UhakikiAkiliBandia
🙏
🤩
2