JamiiCheck

JamiiCheck

79.6K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
January 19, 2025 at 04:17 PM
1. Ufuatiliaji wa Kimtandao wa JamiiCheck ulibaini kuwa Taarifa hizo hazikuchapishwa na vyombo hivyo, wala hazina chanzo cha kuaminika Kuthibitisha madai yaliyomo. Soma https://jamii.app/MazitoKitima 2. Ufuatiliaji wa JamiiCheck ulibaini barua hiyo si ya Kweli, na haikutolewa wala kuchapishwa kwenye kurasa rasmi za mitandao ya kijamii ya Baraza hilo. Soma https://jamii.app/BaruaBavicha 3. Ufuatiliaji wa kimtandao wa JamiiCheck Ulibaini kuwa video hiyo ilipotoshwa kwa kukata sehemu ya hotuba ya Pambalu kwenye mkutano mkuu wa BAVICHA Soma https://jamii.app/LakitatuPambalu
🙏 1

Comments