JamiiCheck
January 20, 2025 at 04:47 PM
Jukwaa la JamiiCheck.com limefuatilia na kubaini kuwa kundi lolote la Damu lina hatari ya kupata maambukizi ya VVU au UKIMWI, tofauti na inavyodaiwa kuwa watu wenye kundi la Damu O hawawezi kupata maambukizi.
Soma https://jamii.app/MaambukiziVVU
😂
🙏
2