JamiiCheck

JamiiCheck

79.6K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
January 21, 2025 at 05:55 AM
Rais Samia akizungumza na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Januari 19, 2025, ameonya kuhusu matumizi ya Akili Mnemba wakati wa Uchaguzi Mkuu. Amesisitiza kuwa matumizi mabaya ya Teknolojia hii yanaweza kutumika kueneza taarifa za Uzushi na Uchochezi. Amehimiza kutambua hatari hiyo hata itakapotokea isiwatoe kwenye mstari Mdau, ikiwa utaona Taarifa yenye mashaka, ilete JamiiCheck.com Ihakikiwe kama ni Halisi au imetengenezwa na Akili Mnemba.
❤️ 👍 😂 😢 😮 🙏 8

Comments