JamiiCheck

JamiiCheck

83.3K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
January 21, 2025 at 04:06 PM
Kumekuwapo na Taarifa inayosambaa mtandaoni ikidai kuwa RITA na NIDA wanarekebisha Taarifa kwenye vyeti vya Kuzaliwa na Vitambulisho vya Taifa. Ufuatiliaji wa kimtandao wa JamiiCheck umebaini kuwa taarifa hiyo Si ya Kweli na haijawahi kuchapishwa katika kurasa rasmi za Mitandao ya Kijamii ya Taasisi hizo. Taarifa hiyo Potofu imebainika kuwa na mapungufu kama mwandiko (Fonts) usiofanana na Taarifa rasmi za taasisi hizo, matumizi ya namba za simu kuwasilisha nyaraka muhimu, na kutaja kampuni batili ya KANJU INTERPRISES LDT, inayodaiwa kupewa tenda hiyo Soma https://jamii.app/NidaRita
🙏 1

Comments