Mwigulu Nchemba

Mwigulu Nchemba

93.7K subscribers

Verified Channel
Mwigulu Nchemba
Mwigulu Nchemba
February 11, 2025 at 02:05 PM
*Leo nimekutana na kufanya kikao na Wawakilishi wa NGOs za Watu Wenye Ulemavu (WWU) wakiongozwa na Mhe. Riziki Lulida, Mwenyekiti wa TAPAMA na Mbunge wa Viti Maalum.* *Tumejadili ushirikiano kati ya kundi hili na Serikali, na nimewahakikishia kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaendelea kuboresha mazingira ya watu wenye Makundi Maalumu ili kuwawezesha kujikwamua kiuchumi kupitia program mbalimbali ikiwemo ruzuku inayotolewa kupitia Bajeti Kuu ya Serikali.*
❤️ 👍 🙏 18

Comments