Mwigulu Nchemba WhatsApp Channel

Mwigulu Nchemba

93.7K subscribers

Verified Channel

About Mwigulu Nchemba

Minister for Finance | Economist | MNEC | MP | Proud Father | https://www.mwigulunchemba.com/news/

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Nchemba
6/12/2025, 5:01:27 AM

*LEO nitawasilisha mbele ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/2026.* ๐Ÿ“ *Bungeni, Dodoma* ๐Ÿ•“ *Saa 10:00 jioni* #BajetiYaMaendeleo #BajetiKuuYaWananchi

๐Ÿ™ ๐Ÿ‘ โค๏ธ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜ข 86
Image
Mwigulu Nchemba
Mwigulu Nchemba
6/10/2025, 2:03:20 PM

*Tarehe 12 Juni 2025, nitawasilisha Bungeni Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.*

๐Ÿ™ ๐Ÿ‘ โค๏ธ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜ข 74
Image
Mwigulu Nchemba
Mwigulu Nchemba
6/7/2025, 4:17:44 AM

*Eid Mubarak kwa ndugu zangu Waislamu na Watanzania wote.* *Katika siku hii tukufu ya Eid al-Adha, tuendelee kukuza moyo wa kujitolea, mshikamano na huruma.* *Maendeleo ya kweli hujengwa juu ya misingi ya maadili, imani na upendo.* *Tuiombee Tanzania amani, tuishi kwa mshikamano, na tukumbatie upendo kila siku.*

๐Ÿ™ ๐Ÿ‘ โค๏ธ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜ฎ ๐Ÿ˜ข 83
Image
Mwigulu Nchemba
Mwigulu Nchemba
2/21/2025, 12:30:18 PM

*Home sweet home.*

โค๏ธ ๐Ÿ‘ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ™ 66
Video
Mwigulu Nchemba
Mwigulu Nchemba
2/19/2025, 3:40:26 PM

*Baada ya kuhitimisha shughuli za Bunge, sasa tunaendelea na kazi za wananchi jimboni! Huduma kwa wananchi ni kipaumbele chetu daima.*

๐Ÿ‘ โค๏ธ ๐Ÿ™ 28
Video
Mwigulu Nchemba
Mwigulu Nchemba
2/11/2025, 2:05:39 PM
โค๏ธ ๐Ÿ‘ ๐Ÿ™ ๐Ÿ˜‚ 14
Mwigulu Nchemba
Mwigulu Nchemba
2/11/2025, 2:05:38 PM
โค๏ธ 3
Mwigulu Nchemba
Mwigulu Nchemba
2/11/2025, 2:05:37 PM
โค๏ธ ๐Ÿ‘ ๐Ÿ™ 7
Mwigulu Nchemba
Mwigulu Nchemba
2/11/2025, 2:05:36 PM
โค๏ธ ๐Ÿ™ ๐Ÿ‘ 9
Mwigulu Nchemba
Mwigulu Nchemba
2/11/2025, 2:05:36 PM
โค๏ธ 3
Link copied to clipboard!