
JamiiCheck
January 24, 2025 at 05:43 AM
Je, una taarifa inayokupa utata na hujui namna ya kuiwasilisha kwenye Jukwaa la JamiiCheck?
Ukiwa bado si mwanachama wa JamiiCheck.com, jisajili mara moja tu kwa kufuata hatua chache na rahisi
Ikiwa tayari wewe ni Mwanachama wetu ni rahisi zaidi, ingia moja kwa moja kwenye Jukwaa la JamiiCheck.com wasilisha taarifa yako ambayo itapokelewa na kuanza kufanyiwa uhakiki papo hapo.
Tembelea Jukwaa la JamiiCheck sasa ili uwe miongoni mwa Wadau wetu walio karibu na taarifa zilizohakikiwa
🙏
👍
3