JamiiCheck

JamiiCheck

79.6K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
January 24, 2025 at 05:05 PM
JIUNGE NA 'CHANNEL' YA TELEGRAM YA JAMIICHECK UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA ZILIZOHAKIKIWA JamiiForums kupitia Jukwaa lake la JamiiCheck.com inaendelea kukupa nafasi ya Kuhabarika, Kuelimika na Kushiriki mchakato wa Kuhakiki Taarifa kila wakati na kwa haraka zaidi, ambapo hivi sasa imekuongezea sehemu nyingine ya kupata taarifa hizo kupitia Mtandao wa Telegram Jiunge sasa na 'Channel' yetu ya Telegram kwa kubofya hapa https://t.me/JamiiCheck
❤️ 👍 🙏 4

Comments