JamiiCheck

JamiiCheck

79.6K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
January 26, 2025 at 10:53 AM
Mdau wa JamiiCheck.com alihitaji kupata uhalisia wa Chapisho linalosambaa mtandaoni likiwa na taarifa inayosema 'Maria Sarungi aitabiria kifo CHADEMA' Ufuatiliaji wa kimtandao uliofanywa na JamiiCheck umebaini Kurasa za mitandao ya kijamii za Maria Sarungi hazikuchapisha madai hayo yanayofafanuliwa kama utabiri wa kifo cha CHADEMA. Aidha, Januari 21, 2025, Millard Ayo hakuchapisha Taarifa hiyo katika kurasa zake za Mitandao ya Kijamii bali chapisho hilo lilitumia utambulisho wake ili kuuaminisha Umma kuwa ni Taarifa ya Kweli. Soma https://jamii.app/MariaSarungiChadema
👍 🙏 2

Comments