JamiiCheck

JamiiCheck

83.3K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
January 27, 2025 at 11:14 AM
Kumekuwapo na madai kuwa unyonywaji wa matiti na wanaume wakati wa faragha hupunguza hatari ya Saratani ya Matiti. Ufuatiliaji wa kimtandao wa JamiiCheck kupitia tafiti mbalimbali umebaini kuwa madai haya si ya Kweli. Tafiti zinaeleza kuwa unyonyeshaji unaozalisha maziwa pekee ndio unaosaidia kupunguza hatari ya saratani ya matiti, kutokana na kushusha kiwango cha Oestrogen wakati wa kunyonyesha mtoto, homoni ambayo huchochea ukuaji wa seli za saratani. Kadri mama anavyonyonyesha kwa muda mrefu, ndivyo kinga dhidi ya saratani ya matiti inavyoongezeka. Soma https://jamii.app/KansaMatiti
❤️ 👍 😢 🙏 5

Comments