JamiiCheck

JamiiCheck

83.3K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
January 27, 2025 at 03:32 PM
Mdau wa JamiiCheck.com alihitaji kupata Uhalisia kwa video inayosambaa mtandaoni ikimuonesha Tundu Lissu akidai Freeman Mbowe kuua watu kwa sababu ya madaraka na kusingizia wengine Ufuatiliaji wa kina wa JamiiCheck ulibaini kuwa video hiyo imehaririwa kwa kukata na kuunganisha vipande vidogo kutoka video halisi ya Jambo TV iliyochapishwa YouTube. Katika video halisi ya Desemba 17, 2024, Lissu alieleza kuhusu Taarifa alizopewa juu ya watu wanaotaka kumdhuru na kumsingizia Mbowe, tofauti kabisa na maudhui yaliyopotoshwa ya video inayosambaa. Soma https://jamii.app/MboweNaLissu
😮 🙏 2

Comments