JamiiCheck

JamiiCheck

83.3K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
February 4, 2025 at 04:07 PM
Februari 4 ni Siku ya Saratani Duniani, ikilenga kuongeza uelewa, kuhimiza uchunguzi wa mapema, na kuhamasisha hatua za kuzuia na matibabu. Pia, inashinikiza serikali na mashirika kushiriki katika mapambano dhidi ya ugonjwa huu. Hata hivyo, kuna Taarifa Potofu nyingi kuhusu Saratani zinazosababisha hofu na unyanyapaa, na kuwazuia watu kupata matibabu sahihi. Kama mdau wa JamiiCheck.com, tuambie ni dhana gani umewahi kusikia kuhusu ugonjwa huu ili tukusaidie kujua Uhalisia wake Soma https://jamii.app/WorldCancerDay2025
👍 ❤️ 💋 4

Comments