JamiiCheck

JamiiCheck

83.3K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
February 10, 2025 at 12:58 PM
Kumekuwapo na Taarifa inayosambaa Mtandaoni ikidaiwa kuchapishwa kwenye Mtandao wa X na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, ambayo pamoja na Mambo mengine imebainisha kuwa James Mbowe anamhujumu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu kwa kumnyima vifaa vya Muziki na Jukwaa kwaajili ya Mkutano wake wa Mapokezi Februari 15, 2025 Mkoani Singida Ufuatiliaji uliofanywa na JamiiCheck kwa kutumia maneno muhimu (KeyWord Search) umebaini kuwa Taarifa imetengenezwa, Si ya Kweli na haijachapishwa na Lema kwenye Mtandao wa X kama inavyoonekana Aidha, Lema na James kwa Nyakati tofauti wote kwa pamoja Wamekanusha kutokuhusika na Taarifa hii Soma https://jamii.app/LemaMapokeziLissuSingida
👍 😮 3

Comments