TheChanzo
February 4, 2025 at 06:15 AM
*Kama Sera ya Matibabu Bure Haitekelezeki, Basi Serikali Iache Kudanganya Wananchi | Maoni*
*Na Richard Mabala*
Baada ya mjadala wa mlipuko kutokana na maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kuhusu masuala ya glovu na malipo ya mama mjamzito, ambaye aliomba tujikite kwanza katika mkutano wa kimataifa uliokuwa ukifanyika hapa nchini, naona mkutano huo umekwisha, na ni muhimu kurudia mjadala huu.
Kwanza, katika kufafanua, mkuu huyuhuyu, ambaye aliwataka akina mama wasiyomudu gharama za glovu wakajifungulie nyumbani, alidai kwamba yeye amekuwa mwalimu, hivyo anajua jinsi ya kutumia mifano kushibisha hoja yake.
Labda mama huyu aliyeambiwa arudi nyumbani, yeye na mume wake, atafute mkasi wa kumzalisha baada ya kushindwa kununua glovu, kama inavyotakiwa hospitalini, ilikuwa ni stori tu…
Soma https://thechanzo.com/2025/02/03/kama-sera-ya-matibabu-bure-haitekelezeki-basi-serikali-iache-kudanganya-wananchi/
👍
4